AZAM FC YAUNYEMELEA UBINGWA WA LIGI KUU BARA, YAITANDIKA BAO 3 – 0 RUVU SHOOTING.

Azam Vs RuvuWanalambalamba timu ya Azam Fc imeonyesha kila kila dalili ya kutaka kunyakua ubingwa wa ligi kuu bara baada ya kuichapa Ruvu Shooting bao 3 kwa bila katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Mabatini .
Magoli ya Azam yalifungwa na Mwaikimba, Himid Mao na Kipre Tchetche. Kwa mujibu wa msimamo wa ligi kuu, timu ya  Azam imebakiza pointi 3 kuweza kuutwaa ubingwa huo huku ikiwa mbele kwa pointi  nne dhidi ya wapinzani wao Yanga.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU