BONDIA KUTOKA THAILAND SUKKASEM KOKIETYONGYUTH
BONDIA KUTOKA THAILAND SUKKASEM KOKIETYONGYUTH KUSHOTO AKIPOKEWA KATIKA
UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE LEO KATIKATI NI KOCHA WA
KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' NA
AGAPETER MNAZALETI

Bondia kutoka Thailand Skkasem
Kokietyongyuth kushoto na kocha wake Panyapari Ehot mwingine ni kocha wa
kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati
wakiwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake na Fransic Miyeyusho
litakalofanyika P.T.A Sabasaba April 12 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia kutoka Thailand Skkasem Kokietyongyuth kushoto na
kocha wake Panyapari Ehot mwingine ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa
masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wakiwasili nchini kwa
ajili ya mpambano wake na Fransic Miyeyusho litakalofanyika P.T.A
Sabasaba April 12 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia kutoka Thailand Skkasem
Kokietyongyuth katikati akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimatafa wa
julius nyerere nchini kwa ajili ya mpambano wake leo April 12 na
Fransic Miyeyusho litakalofanyika P.T.A Sabasaba jijini Dar es salaam kushoto ni kocha wake Panyapari Ehot na kulia ni Promota wa mpambano huo Mussa Kova Picha na Rajabu Mhamila
BONDIA KUTOKA THAILAND SUKKASEM KOKIETYONGYUTH AKIWASILI NCHINI KWA
AJILI YA MPAMBANO WAKE WA aPRIL 12 KATIKA UKUMBI WA PTA SABASABA
Comments