HABARI KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI

nkamia_4ff82.jpg
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,ambaye pia ni  Waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia (kulia) akijadiliana jambo  na Madaraka Nyerere ambaye ni mtoto wa Baba wa Taifa,  Mwalimu Julius Nyerere katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Kushoto ni mjumbe wa Bunge hilo, Leticia Nyerere.
gmaa_714c7.jpg
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni  Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe wa Bunge hilo,  Shamsi Vuai Nahodha (katikati) na kulia ni  Dk. Tulia Akson mara baada ya kikao cha jana asubuhi.
picha_ya_pamoja_53c13.jpg
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro wakiwa katika picha ya pamoja na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na mwanasiasa mkongwe, mzee Kingunge Ngombale  Mwiru na mjumbe wa Bunge hilo Juma Njumayo aliyevaa mewani mweusi(kulia) baada ya mwanasaiasa huyo.
(Picha na Magreth Kinabo) (FS)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.