KINANA AMALIZA ZIARA KIGOMA


mnara_ac1a2.jpg
Muasisi wa TANU Mzee Masoud Mwinyi Chande akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kwenye mnara wa kumbukumbu ya eneo alilofanyia mikutano na nyumba alikofikia na kulala, Baba wa taifa Mwalimu Nyerere, katika eneo la Ujiji, wakati wa harakati za kudai Uhuru wa Tanzania, Kinana alipotembelea eneo hilo, leo mwishoni mwa ziara yake ya siku tano mkoani Kigoma, kukagua uhai wa Chama na Utekelezaji wa ilani ya Chama. (FS)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA