KINANA AMALIZA ZIARA MKOANI RUKWA KWA KUHUTUBIA MAMIA YA WANANCHI MJINI SUMBAWANGA JIONI HII, BAADA YA KUKAGUA MRADI WA MAJI SAFI NA MAJI TAKA WA MABILIONI YA FEDHA KATIKA MJI HUO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Aprili 5, 2014, katika bustani ya Uwanja wa Nelson Mandela, mjini Sumbawanga, mwishoni mwa ziara yake mkoani Rukwa
 Mkurugenzi wa Majisafi na Majitaka Sumbawanga (SUWASA), mkoani Rukwa, Antipas Shirima akimpatia maelezo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuhusu ujenzi wa tanki la lita milioni moja za majisafi linalojengwa katika mradi wa SUWASA unaotarajiwa kumalizikama Machi 7, mwakani (2015). Kinana yupo mjini Sumbawanga akiwa katika ziara ya siku sita mkoani Rukwa.

 Mkurugenzi wa Majisafi na Majitaka Sumbawanga (SUWASA), mkoani Rukwa, Antipas Shirima akimpatia maelezo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuhusu ujenzi wa bwawa la maji taka linalojengwa katika mradi wa SUWASA unaotarajiwa kumalizikama Machi 7, mwakani (2015). Kinana yupo mjini Sumbawanga akiwa katika ziara ya siku sita mkoani Rukwa.
Kinana akionyeshwa mtandao wa huduma za usambazaji maji Sumbawanga utakavyokuwa. Anayempa maelezo ni Ngainayo Colman wa SUWASA. Picha zote na Bashir Nkoromo wa theNkoromo Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*