KINANA ATIA FORA ZIARA YAKE SUMBAWANGA VIJIJINI



Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda kusaidia kuenga jingo la Kituo cha Polisi cha Kata ya Ilemba, alipozuru Jimbo la Kwera, Sumbawanga Vijijini , akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwakufuata Ilani ya CCM.
 Kinana akisaidia kujenga jingo la Kituo cha Polisi cha Kat ya Ilemba, katika Jimbo la Kwera, Sumbawanga Vijijini, Rukwa.



 Kinana akitoka kukagua uenzi wa Zahanati ya Kaa ya Ilemba wakati wa ziara ya kikazi Sumbwanga Vijijini
 Kinana akisalimiana na wananchi alipowasili kwenye mutano wa hadhara katika Kata ya Ilemba ambapo aliwasifia wakazi wa jimbo hilo kw uchapakazi hasa katika sala la kilimo. Aliahidi kuisukuma Serikali kujenga hraka barabara ya
Kinna akimkabidhi Rehema Mnyima kadi ya uanachama wa chama hicho ambapo zaidi ya wanachama wapya 300 walijiunga na cham hicho katika jmbo hilo la Kwera.
WanaCCM, wakila kiapo cha utii katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Ilemba
Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Ilemba

Kinana akizungumza na wanachi wa Kijiji cha Ilango waliouzuia msafara wake na kumtandikia khanga atembee juu yake. Kinana alikuwa anatokea Kata ya Ilemba kwda Sumbawanga Mjini.
Wananchi wakimsikiliza kwa makini Katibu Muu wa CCM,Kinana aliposimama kwa muda katika Kijiji cha Milepa alichozaliwa Mbunge wa Jimbo la Kwera, Ignus Malocha, Smbawanga Vijijini.
Gari nlililobeba Kinana likiondoka eneo la Milepa kuelekea Sumbawanga Mjini.
Wananchi wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa CCM, Kinana aliposimama kwa muda uzungumza nao katika Kijiji cha Mtowisa jimboni Kwea.

 Wasanii wakitumbiza kwa ngoma ya asili kwakati Kinana alipowasili katika Kata ya Muze ambapo alizindua ujenzi wa Kituo cha Afya cha Muze, jimboni humo.
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.