KINANA ATINGA KIGOMA KUANZA ZIARA YA SIKU TANO YA KUIMARISHA UHAI WA CHAMA NA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma jioni hii akitokea Rwanda, tayari kuendelea na ziara ya siku tano katika Mkoa wa Kigoma, kwa ajili ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayoyekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM.
 Kinana akilakiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma, Walidi Kaburu baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma.Kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Zanzibar, Ally Karume.
 Gwaride la Vijana wa CCM, likiwa tayari wakati wa mapokezi hayo ya Kinana.
 Kinana akivishwa skavu na kijana Hadja Kanyoe wakati wa mapokezi
 Vijana wa CCM wakimpigia makofi Kinana uwanjani hapo
 Kinana akisalimiana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye aliyfika kumlaki uwanjani hapo na kuungana naye kwenye ziara ya mkoa huo na wa Katavi.Nape alikuwa Chalinze ambako alikuwa Mratibu Mkuu wa Kampeni za Uchaguzi mdogo  wa ubunge wa  Jimbo la Chalinze ambapo Ridhiwani Kikwete wa CCM ameibuka mshind na kuvibwaga kwa mbali vyama vingine vya upinzani.

 Kinana akisalimiana na Ofisa wa CCM ambaye pia ni Mwandishi wa Habari wa magazeti ya chama ya Uhuru na Mazalendo, Bashir Nkoromo. Nkoromo pia anaiendesha Blog ya CCM.
 Kinana akiwa na viongozi wa CCM Mkoa wa Kigoma pamoja na Mkuu wa Mkoa huo, Kanali mstaafu Issa Machibya waliofika kumlaki uwanjani hapo.
 Nape akielezea jinsi CCM ilivyoshinda kwa kishindo katika chaguzi za Chalinze, Kalenga na madiwani wakati wa mkutano wa Halmashauri ya Mkoa wa Kigoma
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kigoma wakisikiliza kwa makini wakati Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akizungumza nao leo baada ya kupewa taarifa ya mkoa huo.
 Kinana akizungmza katika mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kigoma  kwenye ukumbi wa mikutano wa CCM Mkoa wa Kigoma leo.
 Nape akigalia mawe yanayotumika kujengea mabanda ya maduka yanayojengwa na CCM Mkoa wa Kigoma
 Kinana akikagua ujenzi wa mabanda ya maduka mradi wa CCM Mkoa wa Kigoma
Kinana akiongozwa na Mchumi wa CCM Mkoa wa Kigoma, Kadri Mushi kukagua mabanda ya maduka yanayojengwa na CCM Mkoa wa Kigoma.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*