MAADHIMISHO SIKUKUU YA PASAKA KIVULE,DAR

 Waumini wa Dini ya Kikristo wa Kainisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Mtaa wa Kivule, wakiwa katika ibada ya Sikukuu ya kufufuka Yesu Kristo leo katika kanisa hilo lililopo Kivule, Ilala, Dar es Salaam.
 Waumini wakisali wakati wa Ibada ya kufufuka kwa Yesu Kristo ya Pasaka katika Kanisa la KKKT Mtaa wa Kivule, Ukonga. Dar es Salaam.






 Wumini wa Kanisa la KKT Kivule, Dar es Salaam, wakiytoka baada ya kuhudhuria Ibada ya Pasaka leo

 Familia ya Kamanda Richard Mwaikenda ikiwa nyumbani kwao Kivule Forest baada ya kutoka kanisani leo
 Watoto pacha wa Kamanda Richard Mwaikenda, Dotto (kushoto) na Kulwa wakiwa wameshikilia juisi tayari kuifaidi wakati wa hafla ya  sikukuu ya Pasaka leo


Kulwa akinyweshwa juisi na dadake Ezelina.
f
a


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI