Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) imetoa wito kwa wananchi kujenga utaratibu wa kusoma maelezo ya bidhaa za vyakula zinazouzwa katika maduka mbalimbali nchini ili kubaini nchi zilikotengenezwa bidhaa husika, muda wa matumizi na taarifa za uthibitisho wa bidhaa hizo kutoka mamlaka hiyo ili kuepuka madhara yatokanayo na matumizi ya bidhaa zisizokidhi viwango.

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) Bw.Hiiti Sillo (kulia) akitoa ufafanuzi wa baadhi ya bidhaa zilizokamatwa katika ukaguzi maalum kwenye maduka ya kuuzia vyakula   “Supermarkets” na Mini-Supermarkets  katika jiji la Dar es salaam zikiuzwa kinyume cha sheria ya Chakula , Dawa na Vipodozi sura ya 219. Wengine ni Mkurugenzi wa Usalama na Chakula wa TFDA Bw. Raymond  Wigenge, na Meneja wa Ukaguzi wa Chakula wa TFDA kanda ya Mashariki Bw. Emmanuel Alphonce.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) Bw.Hiiti Sillo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu ukaguzi maalum wa maduka ya kuuzia vyakula   “Supermarkets” na Mini-Supermarkets  katika jiji la Dar es salaam kinyume cha sheria ya Chakula , Dawa na Vipodozi sura ya 219.
----
Na Aron Msigwa-MAELEZO, Dar es salaam
Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) imetoa wito kwa wananchi kujenga utaratibu wa kusoma maelezo ya bidhaa za vyakula zinazouzwa katika maduka mbalimbali nchini ili kubaini nchi zilikotengenezwa bidhaa husika,  muda wa matumizi na taarifa za uthibitisho wa bidhaa hizo kutoka mamlaka hiyo ili kuepuka madhara yatokanayo na matumizi ya bidhaa zisizokidhi viwango.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU