Rais
Msaafu wa awamu ya pili Ali Hassani Mwinyi akikabidhiwa nyaraka na
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)
Charles Chach,zenye ujumbe wa shughuli zinazofanywa na Mamlaka hiyo
wakati alipotembelea katika banda la Mamlaka hiyo kujionea shughuli
zinazofanywa na Mamlaka katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano
yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Rais
mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassani Mwinyi akimsikiliza kwa makini
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)
Charles Chacha wakati alipotembelea katika banda la Mamlaka hiyo katika
Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano yanayoendelea katika Viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments