Familia ya kishua na iliyojaa warembo daraja la kwanza wenye
vipaji lukuki, Kardashian’s Family imetia nanga nchini Thailand tangu
machi 30 kwa ajili ya kurekodi muendelezo wa kipindi cha tv ‘Keeping Up
with Kardashian’s kinachoendeshwa na mama wa familia hiyo, Kris Jenner…
Na hivyo kumpatia fursa mchumba wa rapa kanye west na mama wa
mtoto mmoja, Kim Kardashian kuonyesha urembo wake kwa kutumia vazi la
ufukweni. Utasema hakuwahi kushika ujauzito….
Comments