NUSU FAINALI YA UEFA : MADRID KUVAANA NA BAYERN, CHELSEA KIUFUATA ATLETICO ‘VICENT CALDERON’.

Champions League 
Hatimaye ratiba imetoka ya timu zitakazomenyana katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa ya ulaya.
Mabingwa mara tisa wa klabu bingwa ya Ulaya timu ya Real Madrid itawakaribisha  nyumbani wapinzani wao Bayern Munich ‘The Bavarian’ katika mchezo wa mkondo wa kwanza utakaochezwa April 23  na kurejeana tena baada ya siku nane baadae.
Nusu fainali ya pili itakuwa kati ya Atletico Madrid itakialika kikosi cha ‘The Blues’ Chelsea’ kwenye dimba lao la ‘Vicent Calderon’ April 22 na baada ya siku nane  watawafuata darajani  Stamford Bridge.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU