PICHA MAALUM KUTOKA IKULU: RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MEJA JENERALI KEVIN MSEMWA JIJINI DAR ES SALAAM


 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa  aliyekuwa Kamishna wa Utafiti na maendeleo ya Jeshi katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa  marehemu Meja Jenerali Kevin Gerald Msemwa wakati wa hafla ya kuaga mwili wake iliyofanyika katika uwanja wa makao makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Upanga jijini Dar es salaam jana April 6, 2014. Meja Jenerali Msemwa alifariki April 3, 2014 katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salam.
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe mama Salma Kikwete wakitoa mkono wa pole kwa wanafamilia baada ya kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Kamishna wa Utafiti na maendeleo ya Jeshi katika Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa  marehemu Kevin Gerald Msemwa wakati wa hafla ya kuaga mwili wake iliyofanyika katika uwanja wa makao makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Upanga jijini Dar es salaam jana April 6, 2014. Meja Jenerali Msemwa alifariki April 3, 2014 katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salam.Picha na IKULU

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI