Picha: Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri wa Afrika Mashariki, Samweli Sitta amefanya ziara kwa viongozi wakuu wa kidini kwa lengo kuwaambia kile kinachoendelea ndani ya bunge ambalo linaendelea na shughuli zake mjini Dodoma.

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri wa Afrika Mashariki, Samweli Sitta akishuka kwenye gari alipokuwa ziarani leo kwenye Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu wa Bakwata, Suleiman Lolila akisalimiana na Sitta alipowasili ofisi za Makao Makuu ya Bakwata jijini Dar es Salaam leo
 Sitta akisalimiana na Shehe Simba baada ya kufika ofisini kwake  jijini Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA