PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA JUX ‘NITASUBIRI’.

Jux2
Mwanamuziki wa Bongo Fleva anayekimbiza kwa blingi na kuvaa, Juma Mpolopoto ‘JUX’  ambaye kwa sasa yupo barani Asia kwa masuala ya kimasomo,  ameposti picha za utengenezaji wa video mpya ya wimbo wake wa Nitasubiri kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Video hiyo imefanywa chini ya muongozaji ‘Zed Benson’ aliyeongoza  video ya Uzuri wako ya msanii huyo. Tazama vipande vya utengenezaji hapo chini.
Jux1
 Jux3Jux4

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.