PICHA:BENKI YA CRDB YAIPIGA JEKI UBALOZI WA TANZANIA MAREKANI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA SHEREHE YA MUUNGANO


 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Dr. Charles Kimei (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bwn. Martin Mmari kwenye kikao cha makabidhiano ya mchango wa CRDB kwa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani kwa ajili ya sherehe ya miaka 50 ya Muungano zitakazoadhimishwa kitaifa Washington, DC April 26, 2014 CRDB kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ilimkabidhi Mhe. Liberata Mulamula fedha taslimu za Kimarekani dola 5,000 siku ya Ijumaa April 11, 2014. Makabidhiano hayo yalifanyikia Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
 Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Bwn. Saugata Bandyopadhyay CRDB Deputy Managing Director (operations and customer services)
 Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na Bwn. Alex Ngusaru Director of Treasery wa CRDB
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bwn. Martin Mmari akimkabidhi Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula kitita cha dola 5,000 katika kikao cha makabidhiano kilichofanyika Ubalozi wa Tanzania siku ya ijumaa April 11, 2014.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*