Katibu
wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Morogoro Mh Abdalah Shaweji Akisikiliza
kwa Makini Taarifa za Chama cha Mapinduzi alipowasili wilayani Mvomero
kweny Maadhimisho ya Sherehe za Siku ya Wazazi Mkoani Morogoro. Katibu
wa Jumuiya Hiyo alifanya Shuguli Mbalimbali Ikiwemo Kupanda miti
Kufungua Mashina ya Chama cha Mapinduzi Pamoja na Kukabishi kadi za
Uwanachama ambapo Jumla ya Wanachama 150 walijiunga na umoja wa wazazi.
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa
Morogoro Mh Abdalah Shaweji Akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya
kuwasili Ofisi za CCM Wilaya ya Mvomero
Wajumbe
wa Kmatai ya Utekelezaji wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Morogoro
Wakisaini kitabu cha wageni kwenye Ofisi za CCM Wilaya ya Mvomero.
Katibu
wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Morogoro Mh Abdalah Shaweji Akiwahutubia
wananchi wa kata ya Hembeti waliojitokeza kwa wingi katika Sherehe za
Umoja wa wazazi Mkoa wa Morogoro Ambapo katika Hotuba yake Aliwataka
wana CCM Kushirikiana kwa Pamoja Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
vitongoji na Vijiji.Pia Alisisitiza Msimamo wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa
Morogoro ni kwamba Katika Katiba Mpya wanaunga Mkono Msimamo wa Chama
cha Mapinduzi wa Serikali Mbili na Kuwaomba wananchi Mara baada ya
Rasimu ya Mwisho Kuja waichague serikali Mbili katika Kura ya Maoni ya
Kupitisha Katiba Mpya,
Comments