PICHA:RAIS JAKAYA KIKWETE, MAKAMU WAKE DKT. BILAL WALIPOSHIRIKI DUA MAALUM YA KUMBUKUMBU YA KARUME MJINI ZANZIBAR


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kushoto, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein wa pili, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Kaimu Mufti wa Zanzibar, wakiwa pamoja na wananchi wa Zanzibar katika Dua ya ya kukumbuka kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika  jana Aprili 07, 2014 Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kushoto), Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein (wa tatu kutoka kushoto), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Kaimu Mufti wa Zanzibar, wakiwa pamoja na wananchi wa Zanzibar katika Dua ya ya kukumbuka kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika jana Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
 
 Baadhi ya Viongozi na Wananchi wa Zanzibar, wakijumuika pamoja kwenye Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika jana katika Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
Wake wa Viongozi wakiwa katika Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika jana April 07-2014 Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kushoto, akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Viongozi mbalimbali nje ya Jengo la Ofisi ya CCM Kiswandui mara baada ya kumalizika Dua maalum ya kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Sheikh Abeid Amani Karume iliyofanyika jana Ofisi Kuu ya CCM Kiswandui mjini Zanzibar.
Wake wa Viongozi waliohudhuria dua hiyo maalum.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*