RIDHIWANI KIKWETE AIBUKA KIDEDEA UCHAGUZI CHALINZE

Aliyekuwa mgombea ubunge katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze, Bagamoyo, mkoani Pwani, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Ridhiwani Kikwete (anayecheka pichani) ameibuka kidedea kwa kuwabwaga kwa mbali wagombea wa vyama vingine.

Ridhiwani ameshinda kwa jumla ya kura 20,812 sawa na asilimia 86.53, wakati Chadema imepata kura 2,628, sawa na asilimia 10.92, CUF kura 473 sawa na asilimia 1.96, NRA kura 59 sawa na asilimia 0.24, AFP kura78 sawa na asilimia 1.32.Jumla ya kura halali zilizopigwa ni 24,050.

CCM imeshinda katika kata zote 15 za jimbo hilo la Chalinze.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU