Baadhi ya abiria kutoka sehemu mbalimbali wakipanda Ngalawa kwenye
ufukwe wa ziwa Tanganyika,sehemu ijulikanayo kwa jina la Kibirizi
kuelekea upande wa pili wa fukwe ya ziwa hilo pajulikanapo kwa jiina la
Kagunga,ambapo abiria hulipa nauli ya shilingi Elfu tano kwa kila
kichwa,na huchukua masaa mane kufika kwenye ufukwe huo,ambako ni mpakani
mwa jirani na nchi ya Burundi.
Abiria wakifunikwa turubai wasilowane na mvua,wakati ilipoanza kunyesha mjin hapa.
Baadhi
ya abiria kutoka sehemu mbalimbali wakipanda Ngalawa kwenye ufukwe wa
ziwa Tanganyika,sehemu ijulikanayo kwa jina la Kibirizi kuelekea upande
wa pili wa fukwe ya ziwa hilo pajulikanapo kwa jiina la Mwagongo mapema
leo mchana mkoani Kigoma.
Sehemu ya Ziwa Tanganyika kama inavyoonekana kwa mbaali mapema leo jioni mkoani Kigoma.
Comments