WANAHABARI WAKIVINJARI KIGOMA LEO

 Kikosi kazi cha wanahabari walio kwenye msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakiwa katika picha ya pamoja karibu na ufukwe wa Ziwa Tanganyika, kwenye Hoteli ya Lake Tanganyika leo. Wa pili kulia  ni mmiliki wa Blogu hii ya Kamanda wa Matukio,  Richard Mwaikenda.
,
 Wanahabari Bashir Nkoromo (kushoto) wa gazeti la Uhuru, Ahmad Michuzi (katikati) wa Michuzi Blog na Joseph Mpangala wa Star TV, wakivinjari mitaa ya Mji wa Kigoma.
 Bashiri Nkoromo ambaye ni mzaliwa Kigoma, akiwa stendi ya daladala karibu na Stesheni ya Reli ya Kati mjini Kigoma.
Ufukwe wa Ziwa Tanganyika Kigoma

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI