Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias
Chikawe,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais
leo,(kushoto) Naibu Waziri Perera Ame Silima
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias
Chikawe,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais
leo,(kushoto) Naibu Waziri Perera Ame Silima,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Comments