Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko wa Zanzibar, Mhe. Nassor Mazrui (kulia) akizungumza wakati wa Iftari iliyoandaliwa na Benki ya Exim Tanzania Tawi la Zanzibar kwa ajili ya wateja wake hivi karibuni. Wengine kulia kwake ni baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo na wateja walioalikwa katika tukio hilo. Picha na mpiga picha wetu.
Baadhi ya wafanyakazi na wateja wa Benki ya Exim Tanzania wakijumuika pamoja katika Iftari iliyoandaliwa na benki hiyo Visiwani Zanzibar kwa ajili ya wateja wake. Picha na mpiga picha wetu.
Comments