BREAKING NEWS JUST IN:MKURUGENZI WA SWEET FM MBEYA EMANNUEL JOSEPH MBUZA AFARIKI DUNIA USIKU WA KUMKIA LEO


EMMANUEL JOSEPH MBUZA. Mhitimu wa Sangu High School (2007), aliyewahi kuwa Mfanyakazi wa Mbeya FM na Generation FM, Tumaini University LLB & MBA , Kijana mjasiliamali na mpiganaji, Katibu Mwenezi wa CCM Mbeya Mjini, Mkurugenzi wa Sweet fM Radio, Sweet Televission na Auction Mart Group of Companies. Mzaliwa wa Mbeya alikuwa anafanya biashara zake jijini Dar es salaam,  Amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Mipango ya mazishi inafanyika kwa kaka yake Oscar Mbuza Tabata-Dar es salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA