Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis akizungumza na waandishi wa habari leo (hawapo pichani ) kuhusu kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ndogo za Bunge jijini Dares Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa Bunge Maalum la Katiba, Yahaya Khamis akizungumza na waandishi wa habari leo (hawapo pichani ) kuhusu kuendelea kwa Bunge Maalum la Katiba kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ndogo za Bunge jijini Dares Salaam.

Comments