CAG AHUDHURIA KIKAO CHA 68 CHA BODI YA WAKAGUZI WA UMOJA WA MATAIFA KILICHOFANYIKA NEW YORK MAREKANI.

           

IMG_4972
CAG wa Tanzania Bw. Ludovick  S. L Utouh. pamoja name wajumbe wenzie wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa wakisaini ripoti 29 za taasisi za umoja huo zilizokaguliwa. Wajumbe hao ni Bw. LiuJiayi kutoka China, Bw. Amyas Morse kutoka Uingereza ambae ni Mwenyekiti wa bodi na Bw. Shashi Sharma kutoka India. Ripoti hizo zilisainiwa tare he 24/7/2014
IMG_4983
Picha ya makabidhiano ya mikoba ya ujumbe wa umoja wa mataifa iliofanyika kati ya mjumbe kutoka China anayemaliza muda wake wa miaka sita  aliyesimama wa pili kutoka kulia na mjumbe mpya kutoka India wa pili kutoka kushoto
IMG_4996
Picha ya pamoja ya wajumbe wa Bodi ya Umoja wa Mataifa na wawakilishi wao wa Umoja wa Mataifa.
IMG_5021
Picha ya pamoja kati ya CAG, watumishi wake pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya ushauri wa ukaguzi wa umoja wa mataifa Be. Kamlesh Vikamsey.
???????????????????????????????
CAG akifanya mahojiano na mwahandishi wa Habari wa redio ya umoja wa mataifa Bi Prisila lecomte

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.