DEMU WA SANCHEZ NAYE AJIUNGA NA ARSENAL

IJUMAA ilikuwa siku nzuri kwa Arsenal, ikipata mchezaji mpya, Alexis Sanchez, na zaidi mchumba wa mchezaji huyo Laia Grassi ameingia kwenye orodha ya Wake na Wapenzi wa Wachezaji (WAG) wapenzi wa timu hiyo.
Mspanyola Grassi amedhihirisha mapenzi yake kwa The Gunners baada ya kuposti picha yake kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na jezi ya Arsenal.
Jezi: Mpenzi wa Sanchez, Laia Grassi ameposti hii picha baada ya nyota huyo wa Chile kutua Arsenal
Couple: New signing Sanchez poses for a photo with Spaniard Grassi
Wapenzi: Mchezaji mpya wa Arsenal, Sanchez akiwa na mpenzi wake Grassi pichani

Ameandika: "Mimi ni Gunner, kwa Arsene Wenger kutoa Pauni Milioni 30 kumnunua nyota wa Chile kutoka Barcelona.
Sanchez atakuwa anahudhuria la kujifunza Kiingerea kwa wiki mjini London, kabla ya kuanza maisha ya mchezaji anayelipwa zaidi Arsenal. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 hawezi kuzungumza Kiingereza.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI