DIAMOND KAMA KAWA, ATWAA TUZO AFRIMMA

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametwaa tuzo moja ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki katika Tuzo za Afrimma zilizofanyika Dallas. TX nchini Marekani.
Staa huyo aliwania tuzo katika vipengele vitano ambavyo ni: ..>Msanii bora wa mwaka Afrika, Wimbo wa mwaka, Collabo bora, Video bora ya mwaka na Msanii bora wa kiume wa Afrika Mashariki. Kwaiyo kashinda tuzo moja ya msanii bora wa kiume Africa mashariki.
Cridet:GPL

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*