JK ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA

Rais Jakaya Kikwete, akiangalia viatu vilivyotengenezwa na kiwanda cha Magereza Mkoa wa Kilimanjaro, Gereza Kuu Karanga, wakati alipotembelea banda hilo kwenye viwanja vya Maonesho ya Bishara ya Kimataifa vya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam leo. Kulia anayempatia maelezo ni Sajini Ramadhan Hassan wa jeshi hilo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI