KWELI HUJAFA HUJAUMBIKA: INAUMIZA


Ili Chacha (40) anayesumbuliwa na gonjwa hatari la kansa kwa zaidi ya miaka 14.
WAKATI wewe unaishi vizuri na kufanya kila aina ya starehe uitakayo, mambo ni tofauti kwa Ili Chacha (40) ambaye hata mahitaji muhimu kwake ni shida kwa kuwa anasumbuliwa na gonjwa hatari la kansa kwa zaidi ya miaka 14 sasa bila matibabu yoyote.Chacha ambaye kwa sasa anaishi Ubungo Darajani jijini Dar akitokea mkoani Musoma kwa lengo la kutafuta tiba alikuwa na haya ya kusema: 


MAISHA YANGU YAMEJAA HOFU
“Ndugu zangu, sikutegemea kama siku moja ningepatwa na maradhi haya yanayonitesa na kusababisha dunia niione chungu na kuto yafurahia maisha. 

“Ugonjwa huu umesababisha nyama za ndani kwa ndani, mashavu na pua yangu kuvimba huku upele mkubwa mfano wa nundu ukinitoka sehemu mbalimbali usoni, yaani jamani mateso yangu anayajua Mungu,” alisema Chacha kwa huzuni. 

MIAKA 14 KATIKA UGONJWA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.