Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida 9kushoto) akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa UWT CCM Jimbo la Temeke, Khadija Ngwele baada ya kuwa miongozi mwa viongozi wa CCM Wilaya ya Temeke waliofuzu mafunzo ya uongozi wa chama katika semina ya siku mbili iliyoalizika jana. Semina hiyo iliandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA; KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Baadhi viongozi walioshiriki semina hiyo wakipiga makofi wakati wa kukabidhiwa vyeti
Katibu wa Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba akihutubia na kukeme kitendo cha baadhi ya viongozi wa juu wa CCM wa wilaya hiyo kukwepa kushiriki semina hiyo.
Baadhi ya viongozi walikuwepo wakati wa kufunga semina hiyo, isipokuwa Mwenyekiti na Katibu wa CCM wa wilaya hiyo hawakuwepo.

Comments