MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA SWALA YA EID EL-FITRI MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM

3
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi wa serikali na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Eid El Fitri, iliyoswaliwa kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo asubuhi. Picha na OMR
5

6
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu, wakati akiondoka kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja baada ya kushiriki swala ya sikukuu ya Eid El Fitr, jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Picha na OMR
7
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya viongozi wa serikali na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Eid El Fitri, iliyoswaliwa kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo asubuhi. Picha na OMR

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.