MATUKIO MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR ES SALAAM

 Wananchi wakilishangaa gari linalotumia gesi badala ya mafuta walipotembelea banda la Wizara ya Nishati na Madini katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa, viwanja vya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam
Wananchi wakilishangaa gari linalotumia gesi badala ya mafuta walipotembelea banda la Wizara ya Nishati na Madini katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa, viwanja vya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam
  Ofisa Uhusiano na Mawasiliano wa Mfuko wa Pesheni (PPF), Lulu Mengele, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kazi na majukumu ya mfuko huo kwa jamii kwenye banda la PPF
 Mtaalamu wa Ushirikishaji wadau wa Shirika la Changamoto za Milenia (MCC), Rehema Mbulalina, akiwapatia maelezo wadau waliotembelea banda hilo lililopo ndani ya Banda la Wizara ya Fedha, katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam
Mwanafunzi wa Veta, Rehema Omary akiwapatia maelezo wananchi waliotembelea banda la Veta kuhusu injini ya gari inavyofanya kazi, katika maonesho hayo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.