MBUNGE WA LUDEWA DEO FILIKUNJOMBE AONGOZA ZOEZI LA KUCHIMBA MASHIMO YA NGUZO ZA UMEME KUELEKEA KIJIJI CHA NINDI, NTUMBATI NA LUPINGU

 Mbunge wa Ludewa, Mheshimiwa Deo Filikujombe (kushoto) akipata maelezo toka kwa mtaalam wa Tanesco wakati wa zoezi la kuchimba mashimo ili kuweka guzo za umeme kuelekea kijiji cha Nindi, Ntumbati na Lupingu mapema leo
. asubuhi Julai 7, 2014. Picha zote na Sheila Simba.
Mtaalamu toka Tanesco akitoa maelezo kwa Mbunge wa Ludewa Deo Fillikujombe wakati wa zoezi la kuongoza wananchi wa Ludewa kuchimba na kuweka guzo za umeme kuelekea Vijiji vya Nindi, Ntumbati na Lupingu mapema leo asubuhi Julai 7, 2014.
 Wananchi wa kijiji cha Nindi, Ludewa wakikagua nguzo kabla ya zoezi lakuchimba mashimo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.