MKUDE SIMBA;KITALE KUINGIZA MITAANI HARUSI YA TEJA

  Msanii wa tasnia ya Maigizo anayefanya poa sana katika sehemu tofauti Mussa kitale aka Mkude simba  Kitale, anatarajia kuingiza sokoni move yake mpya ya vichekesho inayoitwa Harusi ya Teja
   Akizungumza na ubalozini.blogspot.com Kiatale amesema, mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani watapata kitu hakijawahi kutokea katika tasnia ya Bongo Move. " Nimeamua kuja na mawazo mapya kwa ajili ya kuboresha soko la filamu na lasanaa kwa jumla, tofauti na ilivyo sasa Move nyingi za kibongo zanakuwa na mawazo yanayofanana kitu ambacho shabiki anachoka" amesema Kitale ambaye kwa sasa anatmba na style yake mpya iliyokuja kwa kasi sana ya mkude simba
  Katika Harusi ya Teja utakutana na wasanii wengi wa Commed wapya na wakongwe ambao wamefanya kitu adimu sana katika move hiyo inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni.

Baadhi ya matukio utakayoyakuta ndani ya Harusi ya teja 




Hapa teja akijitambulisha yeye na mkewe

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*