Diamond
Platnum amedondosha video kwa mara moja zote zikiwa zimetengenezwa na ku
recordiwa nje ya Tanzania.Leo hii tarehe 7/7 ni siku ambayo alizaliwa
mama yake mzazi Diamond na ili kusherehekea siku hii ya kumbukumbuku
nzuri kwake na familia yake, Diamond ameamua kuachia video hizo.Video ya
mdogo mdogo imetegenezwa South Africa, na imemgharimu dola 40,000
ambayo ni sawa na sh milioni 67,200,000. video imefanyika South Africa
Director ni Godfather.
na video
ya wimbo wake na Iyanya "Mdogo mdogo" iliyotengenezwa na kurekodiwa
London imemgharimu pia dola 40,000 nakutengeneza jumla ya shilingi
milioni 134,400,000....Tazama video zote hapa chini
ANGALIA VIDEO MBILI MPYA ZA DIAMOND ZILIZOMGHARIMU MILIONI 134,400,000 ZA KITANZANIA

Comments