MTITU: WASTARA ALIMKOSEA MAREHEMU

BIG boss wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu amemtolea uvivu msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma kwa kumwambia kuwa, alimkosea sana marehemu Sheila Haule ‘Recho’ kwa kutomzika.
BIG boss wa Kampuni ya Five Effect, William Mtitu
Akizungumza na mwandishi wetu, Mtitu alisema marehemu Recho alikuwa mtu wa kujitoa katika matatizo mbalimbali ukiwemo msiba wa mume wa Wastara, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ lakini alishangaa kutomuona kwenye msibani huo na alipomchana laivu akakasirika na kutangaza bifu.
Staa katika tasnia ya filamu Bongo Wastara, Juma
“Nilimchana laivu kwani alimkosea
marehemu, alipaswa kwenda kwani hakuwa na sababu ya kueleweka zaidi ya kwenda bungeni kitu ambacho angeweza kukiacha kikawakilishwa na mtu mwingine,” alisema Mtitu.Kwenye utetezi wake juu ya kutoonekana msibani, Wastara alisema hakuwa na jinsi kwani alikwenda bungeni mjini Dodoma kuwawakilisha wasanii wenzake.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA