Nani Mkali kati ya Diamond na Ali Kiba?

Mjadala uliopo kwenye mitaa na baadhi ya maskani za watu wengi japo kwa dakika tano ni mpambano usio rasmi kati ya Diamond na Ali Kiba.

Mpambano huo unaotengenezwa zaidi na mashabiki umetua katika mazoezi ya Simba ambapo wachezaji maarufu wa timu hiyo waliweka nukta ya mazoezi kwa muda na kuanzisha mjadala ‘wa nani mkali’ mjadala uliomhusisha kocha wa timu hiyo, Selemani Matonya.
kibaKwa mujibu wa gazeti la Championi, wachezaji hao na Kocha wao walijikuta wakianza kubishana (debate isiyo na msimamizi) huku Suleiman
Matola, Uhuru Selemani, Awadh Juma na Twaha Ibraahim wakiwa upande wa Mwana Dar Es Salaam Ali Kiba, wengine waliohusika kwenye mjadala huo walichukua upande wa MdogoMdogo wa Diamond wakiwemo Said Ndemla na Abdallah Sisem

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.