PSPF YATOA MSAADA WA VYAKULA VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA JIJINI DAR

 Afisa Uhusioano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Wapili kulia), akimsalimia Mkurugenzi wa Kituo cha Kulea Watoto Yatima, (CHAKUWAMA), kilichoko Sinza jijini Dar es Salaam jana, baada ya wafanyakazi wa Mfuko huo kukab idhi misaadsa ya vyakula kwa ajili ya sikukuu ya Idd. Mfuko huo pia umekabidhi misaada kama hiyo kwa vituo vingine sita vya yatima jijini kwa ajili ya sikukuu ya Idd. Kulia ni Afisa wa fedha wa Mfuko huo, Mohammed Madenge, na kushoto ni A\fisa Masoko, Magire Werema
 Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, Abdul Njaidi, (Kulia), akikabidhi msaada wa vyakula ikiwemo Mbuzi, kwa watoto wanaolelewa kwenye kituo cha kulea yatima cha Mwandaliwa kilichoko Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam jana. PSPF, imetoa misaada kama hiyo kwa vituo sita vya yatima jijini kwa ajili ya sikukuu ya Idd.
 Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Magira Werema, (Kulia), akikabidhi Mbuzi na vyakula kwa watoto wa kituo cha kulea watoto yatima cha Chakuwama, Sinza jijini Dar es Salaam jana. Mfuko huo umekabidhi misada kama hiyo kwa vituo vingine sita jijini kwa ajili ya sikukuu ya Idd inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki.
Chakuwama_Said Hassan
Afisa anayeshughulikia masuala ya fedha, wa Mfuko w aPensheni wa PSPF, Mohammed Madenge, (Wakwanza kjulia), akifuatana na Afisa Uhusiano Mwandamkizi wa Mfuko huo, Abdul Njaidi, (Katikati), na afdisa masoko, Magira Werema, wakikabidhi msaada wa vyakula ikkiwemo Mbuzi, kwa kituo cha kulea watoto hyatima cha Mwandaliwa kilichoko Bunju nje kidogo ya jiji jana. PSPF, imekabidhi misaada kama hiyo kwa vituo vinghine sita jijini kwa ajili ya khjusherehekea sikukuu ya Idd inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki au mwanzoni mwa wiki

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*