Rais Kikwete akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki, Amjulia Hali Jaji Lewis Makame

              

D92A2407Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt.Yukiya Amano ikulu jijini Dar es Salaam leo.D92A2461Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Shirika la kimataifa la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt. Yukiya Amano ikulu jijini Dar es Salaam leo.
D92A2478Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt.Yukiya Amano akiuangalia mti kubwa wa Mbuyu katika bustani za ikulu jijini Dar es Salaam huku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiomuonesha tunda la ubuyu.
D92A2486Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimuonesha tunda la ubuyu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki(IAEA) Dkt.Yukiya Amano mara baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam leo.
D92A2645Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mwenyekiti mstaafu wa tume ya Uchaguzi JAJI Lewis Makame aliyelazwa katika hospitali ya AMI iliyoko Mikocheni jijini Dar es Salaam leo(picha na Freddy Maro)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*