Serikali yapokea msaada wa Dola za Kimarekani elfu 93 kusaidia Timu za Taifa zinazoshiriki mashindano ya Jumiya ya Madola

      

NW1bNaibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Juma Suleiman Nkamia akizunguza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kupokea msaada wa Hundi yenye thamani ya Dolla za Kimarekani 93,000 kutoka kwa Kampuni ya Bakhresa Group kwa ajili ya kusaidia timu za wanamichezo wanaoshiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola jijini Glasgow Scotland jijini Dar es Salaam leo (jana), katikati ni Meneja Mkuu wa Kampuni hiyo Said Muhammad Said Abeid na Meneja Chapa wa Kampuni hiyo Bw. Abubaker S.A.
NW2Kulia Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Juma Suleiman Nkamia akipeana mkono na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Bakhresa Group, Said Muhammad Said Abeid mara baada ya kumkabithi Hundi yenye thamani ya Dola za Kimarekani 93,000 kutoka kwa Kampuni ya Bakhresa Group kwa ajili ya kusaidia timu za wanamichezo wanaoshiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola jijini Glasgow Scotland. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Habari leo jijini Dar es Salaam .

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU