SOKO LA SARAFINA JAMATINI DODOMA LATEKETEA KWA MOTO

 Moto mkubwa ukiendelea kuteketeza mabanda ya wafanyabiashara wa maduka
na mitumba katika eneo la Sarafina Dodoma
 Baadhi ya watu wa mji wa Dodoma wakisaidia kuzima moto uliokuwa ukiendelea kuteketeza mabanda ya wafanyabiashara katikaa soko la mitumba la jamatini maarufu kama Sarafina baada ya moto huo kuzuka
kuanzi kwenye banda la vinyago usiku wa kuamkia leo.
 Wafanyabiashara katika eneo la Sarafina manispaa ya Dodoma wakisikitika walipokuwa wakiangalia moto uliokuwa ukiteketeza mabanda pamoja na mali zilizokuwa ndani, chanzo cha moto huo bada hakijajulikana.
 Wakazi wa Dodoma Wakijaribu kuudhibiti moto mkubwa uliokuwa ukiteketeza mali na mabanda ya wafanyabiashara wa mitumba katika eneo la jamatini  kwa kutumia mchanga na matawi ya miti ili usiendelee
baada ya kudumu zaidi ya saa tatu huku zaidi ya mabanda 80 yakiteketea.
 Bidhaa mbalimbali zikiwa zimezagaa baada ya kutolewa kwenye moja ya mabanda yaliyokuwa yakiungua kutokana na moto ambao bado haujajulikana chanzo chake katika eneo la nyuma ya kituocha Daladala jamatiniDodoma.
Wafanyakazi wa Zimamoto wakiendelea kuwajibika wakati walipokuwawakizima moto katika eneo la jamatini linalopakana na baa ya Actik, ambapo zaidi ya vibanda 80 viliteketea zikiwemo mali zawafanyabiashara wa eneo hilo lililopo manispaa ya Dodoma PICHA ZOTE  NA MDAU WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG  JOHN BANDA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.