TIMBER LAND JOGGING AND SPORTS CLUB YOMBO KILAKALA WAFUTURISHA NA KUTOA VYAKULA KWA WATOTO YATIMA

      


 
TIMBER LAND JOGING AND SPORTS CLUB YOMBO KILAKALA
 
Kanali Mstaafu Iddi Kipingu wa tatu kushoto akikabizi pesa taslim pamoja na vyakura mbalimbali kwa watoto wanaolelewa katika kituo chawatoto yatima cha Daru-Alqm cha yombo misaada iliyotolewa na Timber Land Jogging and Sports Club
Baadhi ya wtoto wakifuturu wakati wa futari iliyoandaliwa na klub ya jogging ya timber land iliyoYombo kilakala
Baadhi ya kina mama na watoto nao wakipata futari
BAADHI YA WANACHAMA WANAWAKE WA KLUB YA TIMBER LAND YA YOMBO KILAKALA WAKIPATA FUTARI YA PAMOJA
Mlezi wa klabu ya Timber land sports club ya Yombo Kilakala ,Bi

Carren-Flora Mgonja wa pili kushoto akiwa na baadhi ya wanachama mara baada ya kumaliza futari

Mlezi wa klabu ya Timber land sports club ya Yombo Kilakala ,Bi

Carren-Flora Mgonja  akizungumza wakati wa futari hiyo

Makamu Mwenyekiti wa Timber Land Chorai John akizungumza
Diwani wa kata ya Yombo Kilakala Bi, Elizabeth Magwaja akiongea

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.