WABUNGE VIJANA JOSHUA NASSARI NA STEPHEN MASELE KUKUTANA NA RAIS OBAMA LEO

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari  akizungumza wakati wa tafrija ya chakula cha jioni baada ya mahafali ya kuhitimu mafunzo ya wiki tisa kwa viongozi vijana toka nchi mbalimbali za Afrika yaliyokuwa yakifanyika chuo kikuu cha Arkansas nchini Marekani.


Hotuba ya Mh,Nassari ilionekana kuwagusa wageni mbalimbali katika tafrija hiyo 

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akipokea cheti toka kwa  Mstahiki Meya wa Fayetteville Arkansas Mhe Lioneld Jordan.
Wahitimu ,viongozi vijana toka nchi mbalimbali Afrika.
Ratiba ya Viongozi vijana toka nchi mbalimbali barani Afrika ambayo inaonesha leo hii wahitimu hao akiwemo Mh Joshua Nassari na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Mh Stephen Masele wanakutana na Mke wa rais wa Marekani Michelle Obama na baadaye jioni kukutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani,John Kerry.Masele alikuwa chuo kikuu cha Florida na Nassari alikuwa chuo kikuu cha Arkansas.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI