Mwalimu wa wanafunzi wa Chuo cha Cilos Cha Lugha za Kimataifa, Wamala Wamala,(wa kwanza kulia) akiwaelekeza jambo wanafunzi wa chuo hicho waliofanya ziara ya mafunzo ya Utalii katika Hifadhi ya Mbuga ya Wanyama ya Saadani Mkoa wa Tanga mwishoni mwa wiki. (NA MPIGAPICHA MAALUM)
Mwenyekiti wa msafara wa wanafunzi wa Chuo cha Cilos wa Lugha za Kimataifa Lucas Chacha,(wakwanza kulia) akiwaelekeza jambo wanafunzi wa chuo hicho mara walipofika katika kujifunza mambo Mbalimbali ya Utalii katika Hifadhi ya mbuga za wanyama Saadani Mkoa wa Tanga mwishoni mwa wiki.
Wanafunzi wa chuo cha Cilos,wakiangalia Makaburi ya Wajerumani walioigia 1852 katika Hifadhi ya Saadani Mkoa wa Pwani mwishoni mwa wiki
Comments