WATANZANIA KUTIBIWA KITEKNOLOGIA ZAIDI



 Mkurugenzi wa Kampuni ya Ceragem, Africa Mashariki, Nam Chae Woo,(kulia) akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Dafa Ceragem, Edmund Mndolwa jinsi mashine mpya ya Ceragem V3 inavyofanya kazi , wakati wa uzinduzi wa mashine hiyo inayotumia teknolojia ya hali ya juu katika kutibu magonjwa mbalimbali bila ya mgonjwa kumeza dawa au kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa Ceragem vilivyopo sehemu mbalimbali hapa nchini . Anaeshuhudia ni Patricia Mndolwa.
 Mzee Fransis Kavishe na Bi Ashura Salum,wanaosumbuliwa na ugonjwa wa kansa wakifunua kitambaa, kuashiria uzinduzi wa Mashine mpya ya Ceragem V3  inayotumia teknolojia ya hali ya juu katika kutibu magonjwa mbalimbali bila ya mgonjwa kumeza dawa au kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa Ceragem vilivyopo sehemu mbalimbali hapa nchini,pamoja nao katika picha ni Mkurugenzi wa Dafa Ceragem, Edmund Mndolwa,Mkurugenzi wa Kampuni ya Ceragem, Africa Mashariki, Nam Chae Woo, na Patricia Mndolwa.
 Mzee Fransis Kavishe na Bi Ashura Salum,wanaosumbuliwa na ugonjwa wa kansa wakikata utepe, kuashiria uzinduzi wa Mashine mpya ya Ceragem V3 inayotumia teknolojia ya hali ya juu katika kutibu magonjwa mbalimbali bila kumeza dawa wala kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa Ceragem vilivyopo sehemu mbalimbali hapa nchini,Pamoja nao katika picha ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Ceragem, Africa Mashariki, Nam Chae Woo, Mkurugenzi wa Dafa Ceragem, Edmund Mndolwa.
 Baadhi ya Wagonjwa na wafanyakazi wa Kampuni ya Ceragem, Africa Mashariki wakifuatilia hotuba ya Uzinduzi waMashine mpya ya Ceragem V3  inayotumia teknolojia ya hali ya juu katika kutibu magonjwa mbalimbali bila ya mgonjwa kumeza dawa au kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa Ceragem vilivyopo sehemu mbalimbali nchini.
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Ceragem, Africa Mashariki, Nam Chae Woo, akizungumza na baadhi ya wagonjwa na wafanyakazi wa Dafa Ceragem wakati wa Uzinduzi wa Ceragem V3 inayotumia Teknoloji ya hali ya juu katika kutibu Magonjwa mbalimbali bila kumeza dawa wala kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa Ceragem vilivyopo sehemu mbalimbali hapa nchini.Katika picha kutoka kushoto, Patricia Mndolwa,  Mkurugenzi wa Dafa Ceragem, Edmund Mndolwa, na Mgeni Mualikwa Bi. Lydia Mushumbusi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.