WATOTO HAWA PACHA WA MWAIKENDA UKIWANYIMA MAWASILIANO YA SIMU, NYUMBANI HAPAKILIKI

 Mtoto Kulwa Mwaikenda mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi miwili, akiwasiliana kwa simu ya mkononi na Bibi yake alioko Mbeya leo hii, hata hivyo yeye na bibi yake walishindwa kuelewana kwani ilikuwa lugha gongana. Mtoto huyo ambaye ni pacha  na Dotto Mwaikenda wakiona mamao na babao wakipokea simu wana tabia ya kulilia na kutaka kuzungumza na bila kuwapatia basi hapo home hapakiliki.
 Kulwa (kulia) akiendelea kusikiliza simu huku mwenzie akisubiri zamu yake. Watoto hawa pacha ni wa mmiliki wa blog hii ya Kamanda wa Matukio. Wanaishi Kivule, Dar es Salaam.
 Jamani Kulwa kwa vituko hajambo


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*