YANGA SC YAKANUSHA TAARIFA ZA KUJITOA KOMBE LA KAGAME

Young Africans Sports ClubKlabu ya Young Africans haijajitoa kushiriki mashindano ya Kombe la Kagame chini Rwanda kama inavyoripotiwa na baadhi ya mitandao ya habari nchini na kusema taarifa hizo ni za uongo.
Katibu mkuu wa Yanga SC Bw Beno Njovu amesema taarifa hizo zilizosambazwa ni za uongo na kuwa kwa siku ya leo hajaongea na mwandishi wa habari yoyote juu ya michuano hiyo.

Sie hatujatangaza kutoshiriki michuano ya Kagame, kama tulivyosema awali kikubwa tunasubiri taarifa rasmi za kushiriki kutoka CECAFA zitufikie ofisini nasi tupange mikakati yetu "amesema Beno".

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*