ANGALIA LUGHA YA KISWAHILI INAVYOPANDA CHATI MARA P DIDDY ALIVYOTUMIA

Screen Shot 2014-08-02 at 7.30.26 AM
Stori nyingine kubwa kwa staa wa muziki duniani kutumia maneno ya Kiswahili nakumbuka ilikua December 6 2013 ambapo Nicki Minaj aliandika maneno ya Kiswahili kwenye page yake ya instagram kumuenzi Mzee Mandela baada ya kifo ambapo baada ya kumsifia aliandika mwishoni ‘madaraka kwa watu’

Saa kadhaa zilizopita headlines zimehamia kwa P Diddy ambae ameweka hii picha hapa chini kwenye page yake ya instagram na kuandikia hashtag ya #SIMBA.
Screen Shot 2014-08-02 at 7.24.16 AM

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU