ARSENAL YAITANDIKA CRYSTAL PALACE 2-1 DAKIKA ZA LALA SALAMA

Dakika za lala salama: Aaron Ramsey wa Arsenal akiifungia timu yake bao la ushindi.
WASHIKA bunduki wa London, Asernal chini ya kocha mkuu, Mfaransa, Aserne Wenger wameanza ligi kuu England kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Crystal Palace katika uwanja wa Emirates.
Palace walikuwa wa kwanza kuandika bao la kuongoza katika dakika ya 35’ kipindi cha kwanza kupitia kwa Brede Hangeland, lakini katika ya 45’,Laurent Koscielny aliisawazishia Asernal bao hilo.
Katika dakika ya 90’, Aaron Ramsey aliifungia Asernal bao la pili na la ushindi.
Kikosi cha Arsenal: Szczesny, Debuchy, Chambers, Koscielny, Gibbs (Monreal 53), Wilshere (Oxlade-Chamberlain 69), Arteta, Sanchez, Ramsey, Cazorla, Sanogo (Giroud 62).
Wachezaji wa akiba: Rosicky, Martinez, Campbell, Coquelin.
Kadi ya njano: Chambers, Cazorla.
Kikosi cha Crystal Palace: Speroni, Kelly, Dann (Delaney 75), Hangeland, Ward, Puncheon, Jedinak, Ledley, Bolasie (O'Keefe 90), Chamakh, Campbell (Gayle 85).
Wachezaji wa akiba: McCarthy, Hennessey, Murray, Bannan.
Kadi ya njano: Puncheon, Chamakh, Kelly.
Kadi nyekundu: Puncheon.

Mwamuzi: Jon Moss (W Yorkshire)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI